• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

VIJANA CHANGAMKIENI FURSA KATIKA KUJITOLEA

Posted on: December 6th, 2019

Vijana wa Kujitolewa isaidieni serikali kuhamasisha wananchi wajiunge na mfuko wa jamii wa bima ya afya (CHF) ili kuwasaidia wananchi waweze kupata matibabu bora na kujenga afya zao.

Ameyazungumza hayo katibu tawala wa Mkoa wa Arusha bwana Richard Kwitega alipokuwa akifunga maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kujitolea,katika wilaya ya Arumeru.

Amesema ni jukumu la kila mmoja kuwa tayari kujitolea katika nyanja mbalimbali ili kuleta maendeleo kwa mtu binafsi na jamii kwa ujumla.

Mkurugenzi wa halmshauri ya Meru ndugu Emmanuel Mkongo,                                       amesema, serikali pia haipo nyuma  katika kuhakikisha dhana kamili ya kujitolewa inatekelezwa kwa umakini zaidi kwa kuyapa kipaombele zaidi malengo endelevu ya dunia (sustainable development goals  SDG’s)   katika nyanja zote za maendeleo. 

Ameshauri mashirika yote na azaki kuendendelea kuwahamashisha vijana kufanya kazi za kujitolea zaidi hasa katika sekta ya afya hasa kwenye maeneo ya mazingira magumu.

Mwakilishi kutoka umoja wa mataifa (UN) bi. Christine Msisi amesema, dhana ya kujitolea ni muhimu sana kwa kijana kwani inamsaidia kufikisha malengo yake na pia husaidia kujenga mahusiano na watu mbalimbali.

Amesema umoja wa mataifa unaendelea kuhamasisha vijana kujitolea katika nyanja mbalimbali kwani mpaka sasa ni vijana 65 tu wanajitolea katika mashirika mbalimbali.

Peter Owaga Mkurugenzi mtendaji wa shirika la DSW amesisitiza kuwa vijana wanaojitolea hujifunza mambo mengi ikiwemo maswala ya uongozi na ujasiliamali ambayo yamewasaidia sana kufikia malengo yao.

Siku ya kujitolea duniani huadhimishwa kila mwaka  na mwaka huu kauli mbiu ilikuwa “kuwawezesha watu katika kuhakikisha na kuleta umoja na usawa”,ambapo vijana wanaojitolea kutoka mashirika mbalimbali duniani walishiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kamavile kufanya usafi na kupanda miti katika halmashauri ya Meru.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

    March 19, 2023
  • BONANZA LA MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA

    March 18, 2023
  • UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA MIWILI YA DKT.SAMIA

    March 14, 2023
  • TUMERIDHISHWA NA MIRADI-KAMATI YA SIASA MKOA

    March 09, 2023
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa