• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

VIJANA WAMETAKIWA KUWA WAADILIFU

Posted on: September 28th, 2020

Vijana wa Rika katika kabila la Batemi wametakiwa kuwa waadilifu hususani katika shughuli zao wanazofanya katika jamii yao ili kuweza kuleta maendeleo, umoja na mshikamano.

Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta,alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika chuo cha ufundi cha VETA katika kata ya Samunge wilayani Ngorongoro.

Amesema nguvu kubwa iliyooneshwa na rika la vijana la Erumarshari katika kujenga chuo hicho ni mfano wa kuigwa na vijana wengine katika kuleta maendeleo ya jamii zao.

Mwenyekiti wa Rika la Erumarshari bwana Sakanda Gaima amesema,lengo kubwa la kujenga chuo hicho katika Kijiji chao lilikuwa ni kuisaidia jamii hiyo kuondokana na ujinga.

Vile vile amesema chuo hicho kitasaidia kutoa nafasi ya kujiendeleza kimasomo kwa wale wanafunzi ambao hawatafaulu  kupangiwa shule za sekondari, watajiendeleze kupitia chuo hicho.

Bwana Gaima amesema, rika la Erumarshari lina jumla ya vijana 419 ambao ndio wameshiriki katika kujenga chuo hicho kwa nguvu zao wenyewe ikiwemo kuchangia  fedha kiasi cha milioni 300 na nguvu kazi kutoka kwa vijana hao.

Wameishukuru pia serikali kwa kuwaunga mkono katika ujenzi huo kwani kiasi cha fedha bilioni 1.5 zilitolewa na serikali ili kusaidia ujenzi wa chuo hicho.

Amesema ni utaratibu wa vijana wanapoingia katika jukumu lijulikanalo kama Rika ka tika jamii hiyo kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo rika la kwanza lilijenga kituo cha afya,rika la pili limejenga chuo cha ufundi na rika la tatu limejenga madarasa ya shule ya sekondari.

Vijana wa rika katika kata ya Samunge wanaojulikana kama Erumarshari wamewakabidhi rasmi majukumu ya rika kwa kundi jipya la vijana lijulikanalo kama Erumisidai baada ya kumaliza muda wake wa usimamizi wa maswala ya ulinzi na usalama na maendeleo katika jamii hiyo ya Batemi wilayani Ngorongoro.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

    March 19, 2023
  • BONANZA LA MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA

    March 18, 2023
  • UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA MIWILI YA DKT.SAMIA

    March 14, 2023
  • TUMERIDHISHWA NA MIRADI-KAMATI YA SIASA MKOA

    March 09, 2023
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa