• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAANDISHI WAPATIWA MAFUNZO

Posted on: June 11th, 2019

Waandishi wa habari zingatieni Sera ya nchi,Sheria na maadili ya uwandishi wa habari katika kutoa taarifa zenu zinazoelimisha jamii ili kukuza uwelewa juu ya mambo ya vijana na wanawake kwa ujumla.

Yamesemwa hayo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega, alipokuwa anafunga mafunzo ya siku mbili ya waandishi wa habari juu ya afya ya uzazi kwa vijana na kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Mafunzo hayo yametolewa chini ya udhamini wa shirika lisilo la kiserikali la Deutsche Stiftung  Weltbevolkerung (DSW) kwa lengo la kuongeza uelewa kwa waandishi wa habari katika nyanja ya afya kwa vijana na kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Kwitega amesema kwa Mkoa wa Arusha jumla ya kesi 1437 zilizolipotiwa  kati ya mwaka 2017 hadi 2018 juu ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika hospitali zetu na vituo vya polisi.

Amesisitiza kuwa Serikali inaendelea kuweka mikakati juu ya afya ya uzazi kwa vijana na kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA) ili kujengaTaifa lililo imara kwa ujenzi wa uchumi na Viwanda.

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la DSW bwana Peter Owaga Ameishukuru Serikali kwa kuonesha ushirikiano wa karibu kwa taasis yake na hivyo kupelekea kazi nyingi kufanyika kirahisi na kuwafikia watu wengi.

Amesema shirika lake linaendelea kutoa mafunzo kwa vijana mbalimbali kutoka katika halmashauri ya Arusha ambao nao wanaporudi kwenye jamii zao huunda vikundi vya kuendelea kusambaza elimu hiyo katika jamii husika, pia wanawapa na mafunzo ya ujasiliamali.

Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya waandishi wa habari waliopatiawa mafunzo Bi. Mwanaidi Nkwizu amesema wapo tayari kwenda kusambaza elimu waliyopata ili na jamii nayo ipanue uelewa juu ya afya kwa vijana na mpango wa kuthibiti ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Aidha, amemuomba Katibu Tawala kusimamia utaratibu wa upatikanaji wa taarifa mbalimbali kutoka kwa watumishi wa Serikali ili kurahisha utendaji wao wa kazi.

Mafunzo kwa waandishi wa habari yamefanyika kwa siku mbili na mada mbalimbali zimefundishwa zikiwemo afya ya uzazi wa mpango na mpango wa serikali wa kutihibiti ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa