• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WABUNGE WA KAMATI YA FEDHA BUNHE LA AFRIKA MASHARIKI;WAIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA

Posted on: October 25th, 2024

Wajumbe wa Kamati ya Biashara,Fedha na Uhamiaji kutoka Bunge la Afrika  wameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuhakikisha inaondoa vikwazo vya kibiashara kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika kufikia  eneo la Biashara Huru  Bara la Afrika (AfCFTA) .


Pongezi hizo zimetolewa na wajumbe wa kamati hiyo wakiongozwa na Pro. Magret Kamar ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa bunge la hilo  wakati walipotembelea Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (OSBP) eneo la Namanga wilayani Longido Mkoani Arusha


Pro. Kamar  amesema  katika ziara hiyo wamefika nchini Tanzania kujionea utaoji wa huduma katika maeneo mbalimbali ya mipakani na kwa upande wa mpaka wa Namanga wamejionea jinsi nchi ya Tanzania inavyojitahidi kuhakikisha suala la usalama mipakani linaimarika ikiwemo utoaji na uingizwaji wa mizigo kupitia mashine za kisasa za ukaguzi.


Amesema  kuwa ajenda kubwa ya mabunge hayo ni kuhakikisha biashara Huru zinaimarika maeneo ya mipakani na wamejionea kwa macho yao juu ya biashara hizo na hatua zinazostahili katika ukaguzi mzuri unaofanywa katika eneo hilo la mpaka wa Namanga


"Tumekuja kujionea jinsi gani nchi ya  Tanzania inavyotekeleza  fursa za biashara na jinsi ambavyo bidhaa zinazotokea nchi za EAC ikiwemo udhibiti wa bidhaa na uingizwaji lakini pia eneo la biashara huru lipoje tumeridhika na utaoji huduma nzuri katika maeneo ya mipaka hususani mpaka huu wa Namanga unao unganisha nchi ya Kenya na nchi zingine "


Naye Mbunge kutoka Bunge la Shelisheli ,Wavel Woodcock  amesema ujumbe huo umeridhishwa na utoaji huduma bora maeneo ya mpakani na serikali ya Tanzania imejitahidi katika sekta ya miundombinu ikiwemo maeneo ya mipakani na eneo la biashara katika nchi za EAC kukua zaidi na kuinua uchumi wa kila mwananchi.


Hata hivyo ameziomba nchi za Afrika kuhakikisha wanajadili changamoto walizonazo na kuzitatua ili kuhakikisha usalama unaimarika pamoja na uchumi kwa wafanyabiashara, wananchi husika na nchi kwa ujumla katika kuleta maendeleo.


Naye Mbunge wa Viti Maalum ,Anatropia Theonest amesema mafanikio ni mengi kwa upande wa Tanzania lakini pia wamesikia maelezo kutoka kwa wahusika wa mipakani ikiwemo uharakishwaji wa utoaji mizigo inayoingia na kup

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa