• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WADAU WATAKIWA KUSHIRIKI KUTEKELEZA PROGRAM SHIRIKISHI MAKUZI NA MALEZI YA MTOTO.

Posted on: February 23rd, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Halmashauri za mkoa wa Arusha, zimetakiwa kushirikiana na wadau katika kutekeleza Program Jumuishi ya Taifa ya Malezi na Makuzi na Maendeleo ya Mtoto, programu iliyozinduliwa nchini mwaka 2022.


Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa, wakati akifungua Kikako cha Tathmni ya Utekelezaji wa programu hiyo, kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.


Amesema kuwa, ingawa mkoa unatekeleza programu hiyo, lakini ili kuongeza nguvu na kufikia malengo yaliyoainishwa ni vema kuwashirikisha wadau wote katika utekelezaji wa programu hiyo Jumuishi.


Ameweka wazi, inapofanyika tathimni na kubaini maeneo ambayo yana changamoto kubwa, washirikishwe wadau ili kuhakikisha makuzi, malezi na maendeleo ya mtoto yanasimamiwa vyema kuanzia hatua za awali za ukuaji wa mtoto.


"Kila mtu anatambua thamani ya malezi ya mtoto pamoja na changamoto zinazowakabili katika hatua za makuzi, ikiwemo lishe, afya ya uzazi na uzazi salama, afya ya makuzi pamoja na fursa za mtoto katika kujifunza, bila usimamizi imara  mtoto anaweza kuathirika lakini zaidi nguvu kazi ya Taifa itatetereka" Amesema Missaile 


Aidha, amewaelekeza watalamu na wadau kwamba, kikao hicho kikawe dira ya kazi zinazokwenda kufanyika kwa  kuangalia yaliyofanyika tangu kuzinduliwa kwa programu hiyo huku akiwasisitiza watalamu wa sekta mtambuka kufanya kazi kwa kushirikiana kama timu, kwa kuweka kipaumbe cha malezi ya mtoto,  kuhakikisha malengo yaliyowekwa na Serikali kupitia programu hiyo yanafikiwa.


Naya Afisa Ustawi wa Jamii, Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na makundi maalum, Mariam Luka, licha ya kuuponheza mkoa wa Arusha kwa kuanza kuetekeleza programu hiyo kwenye nhazi ya halmashauri, amesema wizara itaendelea kushirikiana na mamlaka za serikali za mitaa kuhakikisha malengo yaliyoainishwa yanafikiwa kwa kutambua kuwa hatma ya mtu mzima hutengeneza utotoni. 


Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Arusha, Denis Kimaro, amesema kuwa, kama mkoa wanayo kaulimbiu ya mtoto kwanza inayomtanguliza mtoto ikihusisha  mahitaji na maslahi yake ya msingi.


#a


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa