• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAHITIMU WA JKT OLJORO WATAKIWA KUWA MFANO WA KUIGWA NA JAMII HUSUSANI VIJANA WENZAO

Posted on: September 8th, 2024


Na Elinipa Lupembe



Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa Oparesheni miaka 60 ya Muungano wametakiwa kutumia ujuzi na maarifa waliyoyapata kuwa mfano kwa jamii hususani kwa vijana wenzao, kwa kuwa Taifa linawategeme.



Rai hiyo imetolewa na  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Amir Mohamed Mkalipa, wakati akifunga mafunzo ya miezi mitatu ya Oparesheni miaka 60 ya Muungano yaliyofanyika KJ833 Oljoro, na kuwataka vijana hao kwenda kutumia ujuzi na maarifa waliyoyapata kulitumikia Taifa pamoja na kuwa mfano wa kuigwa na vijana wenzao katika jamii.



Mhe. Mkalipa licha ya kuwapongeza vijana hao, amewasisitiza kwenda kutekeleza kwa vitendo yale yote waliyojifunza kwa kuonesha utofauti  kati yao na vijana ambao hakushiriki mafunzo haya kwa kuonesha umahiri na uzalendo kwa Nchi yao



"Leo mmeonesha umahiri mkubwa uliotoa taswira ya jinsi wakufunzi walivyowapika, mmeonesha ukakamavu, uzalendo, utiifu na umahiri, mmeitendea haki heshima ya  Amiri Jeshi Mkuu,  mmeonyesha uaminifu kwake kama JKT na jeshi kwa ujumla, hivyo katumieni maarifa haya kulitumikia Taifa na sio vinginevyo" Amesisitiza Mkalipa.



Aidha, amewakumbusha wahitimu kuwa baada ya mafunzo, wanakwenda kuanza maisha ya kujitegemea kwa kutoka kwenye uangalizi wa wazazi na walimu, hivyo wako tayari kujisimamia, na kuwasisitiza kutumia vizuri uhuru wao katika kutekeleza majukumu binafsi na yale watakayopangiwa kwa kuzingatia Sheria, Kanunia na  taratibu za Nchi, kwa kuepuka tabia hatarishi ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya mitandao, matumizi ya dawa za kulevya yanayoweza kuwaingiza kwenye hatia.



Hata hivyo,  wahitimu hao, wameishukuru Serikali kwa kuwapatia mafunzo hayo muhimu kwa vijana wa Kitanzania na kukiri kujengewa uwezo mkubwa wa kujitambua na kujithamini, kujiamini na kujitegemea, uzalendo, utiifu, uhodari na umahiri ambao utakaowawezesha kulitumikia Taifa na watanzania kwa ujumla kwa moyo wa kujitolea.



Naye Mhitimu 'Service' Salvatory Wilson Shange, amesema kuwa mafunzo hayo yamewatoa kwenye ulimwengu wa giza na kuwaleta kwenye mwanga ambao utakuwa dira ya maisha yao katika kulitumikaia Taifa la Tanzania.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa