• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANAMIPANGO WAPEWA MWELEKEO WA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJIA WA KUPANGA...

Posted on: November 29th, 2023

Na Prisca Libaga


Serikali kupitia Tume ya Mipango imewapa  Wanamipango, mwelekeo wa Serikali katika utekelezaji wa majukumu katika kupanga mipango kwenye maeneo yao za kazi, ili kufikia malengo ya


Serikali imewapa mwelekeo huo,wakati wa Kongamano la Wanamipango , uliowakutanisha Maafisa Mipango kutoka Wizara zote, Idara za Serikali zinazojitegemea, Mashirika ya Umma pamoja na Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Akizungumza na Wanamipango hao, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru,  amesema kuwa Kongamano hilo, pamoja na kuwapa Wanamipango nafasi ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu, lina lengo la kuwanoa ili kiwa na uelewa wa pamoja,   mwelekeo wa Serikali na Matarajio yake, kupiti mada mbalimbali, zitakazowasilishwa kwenye Kongamano hilo.


Amesema kuwa, kutokana na kuundwa kwa Tume ya Mipango na matakwa ya kisheria kwamba, Tume hiyo itakuwa mratibu na msimamizi mkuu wa kada hiyo ya Wanamipango, hivyo, Tume kutumia Kongamano hilo,   kuwakumbusha majukumu yao na kuendana na zama mpya za upangaji wa shughuli za maendeleo.


“Serikali inatekeleza majukumu yake kwa kupanga na kila jambo linaanzia kwenye Idara ya Mipango, tunashukuru tumeweza kuwaleta pamoja wanamipango wote wa Serikali, hapa tutapata nafasi ya kufanya tathimini ya changamoto tulizonazo na kwa kuwa sisi ni wapangaji tuanze pia kutafuta majawabu ya changamoto hizo,”alisema Mafuru.


Katika Kongamano hilo la kwanza baada ya Serikali Kurejesha Wizara ya Mipango, zaidi  ya Wanamipango 400, wamehudhuria kongamano hilo, linalofanyika Mkoani Arusha, kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), likiongozwa na Kaulimbiu ya ‘Fikra za Pamoja na Utekelezaji Uliratibiwa kwa Ustawi Jumuishi’.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa