• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUKAMILISHA MAJENGO YA SHULE MPYA YA SEKONDARI KATA YA OLOLOSUKWANI. WILAYA YA NGORONGORO

Posted on: November 10th, 2023


Na Elinipa Lupembe


Wananchi wa kijiji cha Sero kata ya Ololosukwani, wilaya ya Ngorongoro, wameiomba Serikali kusaidia kukamilisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya kata yao, mradi unaotekelezwa na serikali kupitia fedha za Mapambano dhidi ya UVIKO 19, shilingi milioni 470, ili watoto wao waeze kusoma jirani na nyumbani.


Wananchi hao licha ya kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kutoa fedha za ujenzi wa shule mpya ya sekondari kijijini hapo, wanasikitishwa na majengo ya shule hiyo kutokukamilika kwa muda mrefu sasa na kuiomba serikali kukamilisha ujenzi huo.


"Tunaomba serikali itukamilishie ujenzi wa shule hii, watoto wetu  wanateseka, maeneo haya yana wanyama ni hatari, kwa watoto wetu kutembea umbali mrefu wanahatarisha maisha yao, tunaomba serikali kukamilisha mradi huu kwa haraka"


Ihona Turuge amesema kuwa, tunamshukuru mama Samia kwa mradi huu mkubwa umeenda kwa haraka lakini umesimama kwa muda, ameiomba serikali kuharakisha ukamilishaji wa mradi huo.


Awali mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K.Mongella, ameviagiza vyombo vya dola, kuwachulia hatua za kisheria waliokuwa wasimamizi wa mradi huo na kusababisha mifuko 860 ya saruji kupotea kwenye mazingira ya kutatanisha, akiwemo Mkuu wa shule mama ya sekondari Soitsambu, Mwl. Alex Masawe na Afisa Mtendaji wa kijiji cha Sero Ally Mrisho.


Hata hivyo Mhe. Mongella amewasisitiza watalamu wote kuthamini kazi anayoifanya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kazi ambayo inalenga kutoa huduma bora kwa watanzania bila kujali tofauti zao za kiitikadi wala kiimani


"Mama Samia anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma zote za kijamii , hususani wananchi hawa wanaoishi vijijini, watumsihi wa Umma mmepewa dhamana ya kusimamia shughuli za serikali, simamieni mirafi ikamilike kwa wakati, tambueni thamani ya miradi hii kwa wananchi, atakayefanya uzembe awajibishwe mara moja, tusioneane aibu" Amesisitiza mkuu huyo wa mkoa


Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji halmasahuri ya Arusha, Nassor Shemzigwa, amepokea na kufanyia kazi maagizo yaliyotolewa na mkuu wa mkoa na wamejipanga kuhakikisha ujenzi huo unakamilika.


"Tunatambua umuhimu wa shule hiyo kwa watoto wa Ololosokwan, watoto ambao wako kwenye mazingira hatarishi, tunajipanga kutekeleza mradi huo na kuhakikisha uzembe uliojitokeza hauto jirudia.


Ikumbukwe kuwa, mradi huo ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Ibara ya 121 inahusu kuimarisha maeneo ya kutolea huduma bora kwa wananchi kifungu (f) kujenga Majengo  ya utawala katika  halmashauri yamejengwa ili kuboresha mazingira ya kufanyia kazi.


#arushafursalukuki

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa