• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUHUISHA TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Posted on: May 20th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumanne Mei 20, 2025  ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha.



Mara baada ya kujiandikisha, Mhe. Makonda akizungumza na wanahabari amewasihi wananchi wa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kuhuisha taarifa zao katika vituo vilivyoainishwa ili waweze kupata haki ya msingi ya kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.



"Mimi nilikuwa naishi Dar es Salaam, nimehamia hapa Arusha kwahiyo nimehamisha taarifa zangu rasmi za kutoka Dar es Salaam  Mikocheni kwenye kituo cha Kontena kuja hapa kituo cha mahakamani, hivyo mimi ni mpiga kura halali wa Mkoa wa Arusha, Jimbo la Arusha Mjini, Kata ya Sekei." Amesema Mhe. Makonda.



Katika hatua nyingine Mhe. Makonda amewataka waajiri wote katika Mkoa huo kutoa ruhusa kwa watumishi wa Umma, Mashirika na Taasisi mbalimbali kwenda kuhuisha taarifa zao kwa kuwa zoezi hilo halichukui muda mrefu kukamilisha taarifa za mpiga kura ili nao waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi watakaowaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. 



Mkoa wa Arusha una jumla ya vituo 331 kwaajili ya kuhuisha taarifa za wapiga kura ili kusaidia kuondoa usumbufu wakati wa kupiga kura na zoezi hilo litahitimishwa kwa mara ya pili tarehe 22 Mei, 2025.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa