• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WAAPISHWA

Posted on: September 13th, 2019

“Mkasome kwa makini kanuni za uchaguzi wa mwaka 2019 na kufuata ratiba vizuri ya uchaguzi kwa kuzingatia mipaka ya ramani ya uchaguzi kwenye maeneo yenu”.

Akitoa maagizo hayo Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) injinia Joseph Muhanga, katika kuapishwa kwa wasimamizi saba wa uchaguzi wa serikali za mitaa katika Mkoa wa Arusha.

Pia, ameitaka sekretarieti ya Mkoa na ofisi za wakuu wa wilaya kuhakikisha wanasimamia kwa umakini maandalizi na uchaguzi wote wa serikali za mitaa,unaotarajia kufanyika mapema Novemba mwaka huu.

Baada ya kushuhudia kuapishwa kwa wasimamizi hao Injinia Muhanga alipata fursa ya kuzungumza na watumishi wa umma kutoka sekretarieti ya Mkoa, Halmashauri ya Jiji la Arusha na Halmashauri ya Arusha kwa lengo la kujitambulisha baada ya uteuzi wake.

Amesisitiza usimamizi mzuri wa fedha za miradi inayotolewa na serikali na kuwataka wakurugenzi kuhakikisha wanazisimamia kwa umakini na miradi yake inatekelezeka katika kiwango bora.

Ameupongeza uwongozi wa Mkoa pamoja na halamshauri zake katika kufanya vizuri kwenye maeneo mbalimbali yakiwemo ya elimu na kusimamia vizuri miradi mbalimbali katika Mkoa.

Mapema mwezi huu Waziri Ofisi  Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mhe. Seleman Jaffo alifanya uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi kwa mwaka 2019 takribani 184 kwa nchi nzima na Mkoa wa Arusha umepata wasimamizi saba wa kusimamia halmashauri zote saba.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa