• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WATAKAOHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI KUKIONA-JUMAA UWESO

Posted on: February 17th, 2021

Watu wote watakaohusika na uhujumu miundombinu ya maji kuchukuliwa hatua kali ikiwemo kufungwa na faini.

Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alipokuwa akizungumza na watumishi wa Mamlaka za Maji za Mkoa wa Arusha.

Amesema serikali imewekeza fedha nyingi sana katika miradi ya maji hivyo lazima ilindwe kwa manufaa ya wananchi wote katika Mkoa mzima wa Arusha.

Pia, amemuwagiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa  Mazingira Jiji la Arusha Eng. Justine Lujomba kuwachukulia hatua kali watumishi wote watakao waibia wananchi kwa kuwalipisha bili kubwa za maji.

Kwa kufanya hivyo kutasaidia kupunguza wizi wa maji na utapeli unaofanywa na baadhi ya watu.

Aidha, amewataka watumushi wa mamlaka hizo kufanya kazi kwa bidii na kwa uwadilifu mkubwa ili huduma ya maji iweze kuwafikia wananchi wengi na kwa muda mfupi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan Kimanta, amewataka watumishi wa Mamlaka za maji za Mkoa wa Arusha kila mmoja kutekeleza majukumu yake katika nafasi yake bila kusukumwa.

Kimanta amewataka watalaamu hao kutumia  utalaamu wao kwa umakini, ili miradi ya maji inayojengwa iwe ya tija na kwa manufaa ya wananchi wa mkoa huo.

Nae, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na  Usafi wa Mazingira Eng. Justine Lujomba amemuhakikishia Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Uweso kuwa mradi wa Moita katika Wilaya ya Monduli itakamilika na kukabidhiwa kwake ifikapo Aprili 19,2021.

Eng. Lujomba amewasihi watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa.

Waziri jumaa Uweso amefanya ziara ya kikazi ya  siku 2 katika Mkoa wa Arusha na kukagua miradi mbalimbali ya maji iliyopo katika Mkoa huo.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa