• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WATALAMU WA POSTA WATAKIWA KUENDANA NA MABADILIKO NA MAENDELEO YA KITEKNOLOJIA

Posted on: June 3rd, 2024

Na. Elinipa Lupembe

Wataalamu wa masuala ya Posta Afrika, wametakiwa kuendana na wakati kufuatia mabadiliko na maendeleo ya kiteknolojia katika kuwezesha sekta hiyo kufungua fursa za kiucmi na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi katika nchi hizo.

Rai hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mzee Suleiman Mndewa wakati akifungua vikao vya Kamati za wataalamu wa masuala ya Posta kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), kwenye ofisi za Makao Makuu ya PAPU Mkoani Arusha, Juni 3, 2024.

Amesema kufanikiwa zaidi katika masuala ya Posta na kuendana na kasi ya ukuaji wa Biashara Mtandao, ni wajibu wao kwa pamoja kama nchi wanachama kuhakikisha kila mmoja anashiriki katika uchumi wa kidigitali kwa kutumia teknolojia za kisasa zitakazorahisisha shughuli za kiposta ili kukidhi matakwa ya wateja .


“Kupitia mkutano huu ni wajibu wetu kuhakikisha tunatafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili nchi wanachama, ikiwemo miundombinu na teknolojia ambazo zinahitaji  kupatiwa ufumbuzi ili kurahisisha mawasiliano kwa haraka pamoja na kukabiliana na ushindani wa soko”. Amebainisha Mhe. Dk.Mndewa.


Amebainisha kuwa ni vema nchi za Afrika kwa umoja wao kuhakikisha zinatumia teknolojia za kisiasa ili kupunguza gharama, zitakazowezesha kufikia malengo waliyojiwekea kama nchi.


Naye Katibu Mkuu wa PAPU, Dkt. Sifundo Chifu Moyo ameainisha changamoto kadhaa zinazokabili sekta ya Posta na kuwafanya wateja kutokuwa na furaha licha ya kuwa viongozi wa nchi hizo wameanza kuzitafutia ufumbuzi kwa asilimia kubwa.


Ameweka wazi kuwa, moja ya changamoto kubwa pamoja na kutikisika kwa mauzo ya Hisa katika Soko na kushuka kwa mapato, hivyo vikao vya Kamati hizo  za Wataalamu vinatarajiwa kutoa majawabu ya namna Teknolojia inavyoweza kuwa suluhu, ya changamoto hizo ili kurejesha imani ya wananchi katika sekta hiyo.


Awali, mara baada ya vikao hivyo vya watamu kukamilikta vitafuatiwaa na Mkutano wa 42 wa Baraza la Utawala la PAPU uliopangwa kufanyika kwa siku mbili Juni 11 - 12 mkoani Arusha.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa