• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WATUMISHI HOSPITALI YA MT.MERU WAMEHASWA KUENDELEA KUFANYA KAZI KWA WEREDI

Posted on: August 25th, 2022

KATIBU TAWALA MKOA WA ARUSHA AFANYA ZIARA MOUNT MERU


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Mhe. Missaile Abano Musa amefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo pamoja na kuongea na watumishi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru leo Agosti 24, 2022, ikiwa ni moja ya ziara za mwanzo kati ya alizozifanya tangu ateuliwe kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Arusha.

Akitembelea Miradi hiyo ya maendeleo  ambayo imegharamikiwa kwa fedha za serikali ikiwa kwenye hatua za mwisho kumalizika na kuanza kutumika, Katibu Tawala ameupongeza Uongozi wa Hospitali kwa usimamizi mzuri wa miradi hiyo na kutekelezwa ndani ya muda  uliowekwa ili kuwezesha kuongezeka kwa huduma bora zinazotolewa hospitalini.

Vilevile, aliweza kupata wasaa wa kuzungumza na watumishi wa hospitali na kusisitiza wafanye kazi kwa weledi katika kutimiza majukumu yao ya kufikisha huduma bora za Afya kwa jamii na kuwahaidi ushirikiano baina ya Ofisi yake na hospitali katika kutimiza majukumu hayo.

Miradi hiyo ya maendeleo iliogharimu jumla fedha taslim Tsh. Billioni 4.444 ni pamoja na upanuzi wa jengo la dharura (EMD), ukarabati ya wodi ya wagonjwa mahututi (ICU), ukarabati wa wodi ya watoto, ukarabati wa jengo la mazoezi na matibabu kwa njia ya matandao, ununuzi wa mashine ya kisasa ya mionzi (Digital Xray), ununuzi wa mashine ya CT Scan na ujenzi wa nyumba ya mtumishi.





Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa