• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI KAIRUKI ASISITIZA DHAMIRA YA SERIKALI KUVUTIA WATALII KUJA TANZANIA....

Posted on: June 6th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amesisitiza dhamira ya Serikali ya awamu ya sita ya kuendelea kuutangaza Utalii wa Tanzania Duniani kote, lengo likiwa ni kuongeza idadi ya watalii wanaokuja kutembelea vivutio vya Utalii vinavyopatikana Tanzania.

Mhe.  Kairuki ameweka wazi dhamira hiyo ya Serikali, wakati akizindua Msimu wa 9 wa Maonesho ya Karibu-Kili Fair 2024 yanayoendela kwenye Viwanja vya Magereza Mjini Arusha, Juni 07, 2024 huku akisisitiza Serikali kutambua mchango wa sekta binafsi katika jitihada za kuukuza na kuutangaza utalii nchini.

Waziri Kairuki amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuutangaza utalii kupitia programu ya Tanzania The Royal Tour na Amaizing Tanzania, programu ambazo  zinaendelea kufanya vizuri katika kuchagiza sekta ya Utalii kwa kuongeza idadi ya watalii wanaofika kutalii  Tanzania.

Katika hatua nyingine, Mhe. Kairuki  ameahidi kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa utalii  wakiwemo Mawakala wa Usafiri, wamiliki wa Makampuni ya Utalii ili kuhakikisha wanawejengewa uwezo na wanakuwa sehemu ya Mabalozi wa Utalii wenye kubeba jukumu kubwa la kuutangaza utalii wa Tanzania Duniani kote.

Hata hivyo, Mhe. Kairuki ameishukuru Kampuni ya Kili Fair Promotion Ltd kwa kuandaa Maonesho hayo ya Karibu - Kili Fair 2024, maonesho ambayo yanachangia na kuvutia watalii kuja Tanzania huku yakichangia ongezeko kubwa la idadi ya watalii wanaofika nchini Tanzania pamoja na kuifahamisha Dunia kuhusu vivutio vya utalii vinavyopatikana Tanzania.


#ArushanaUtalii

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa