• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI UMMY APIGA MARUFUKU UUZAJI WA DAWA YA  AMOXICILLIN KWA WATOTO...

Posted on: May 23rd, 2024

WAZIRI wa Afya @ummymwalimu ametoa onyo kwa baadhi ya wahudumu wa afya wanaouza dawa za Amoxicillin DT kwa watoto wenye umri chini ya  miaka mitano wakati wanapoenda kupatiwa matibabu  ambapo dawa hizo kwa maelekezo ya Serikali hutolewa bure.

Waziri Ummy ametoa agizo hilo mkoani Tanga wakati akikabidhi gari ya kubebea wagonjwa 'Ambulance' katika kituo cha afya Duga  kilichopo Jiji la Tanga  ambapo amebainisha kuwa gari hilo ni miongoni mwa Magari zaidi ya 600 yanayosambazwa nchi zima na wizara ya afya kwa kushirikiana na ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa 'TAMISEMI'  lengo likiwa ni kutokomeza vifo vya wagonjwa wakiwemo wajawazito wanapohitaji huduma za dharura.

"Lengo letu ni kuboresha huduma za rufaa kwa wagonjwa  tunataka tusipoteze watu kwa sababu  wagonjwa walikuwa wanafariki kwa sababu ya kukosa huduma kwa wakati hususani wagonjwa wa dharura"

Akizungumzia changamoto ya dawa zinazouzwa  kinyume na maelekezo ya Serikali , Waziri Ummy amewataka wahudumu wa afya  kuzingatia sera ya afya bure kwa wamama wajawazito na watoto.

"Kama dawa zipo hamna haja ya kumwambia mgonjwa changia  zingatieni sera ya matibabu kwa wamama wajawazito na watoto waliopo chini ya miaka mitano , nimeangalia daftari la wagonjwa kati ya 10  watoto waliokuja hospital  7 wana maambukizi ya Bakteria ambayo inatibiwa na dawa inaitwa Amoxicillini DT.

"Dawa hii ya a Amoxicillin DT  haipaswi kuuzwa kwa watoto waliopo chini ya miaka mitano na hili nalisisitiza tuzingatie maelekezo ya Serikali , kwa sababu tumeona inauzwa mwaka huu tutaandika haiuzwi sasa ole wake tuikute kwenye Duka inauzwa utatuambia umeitoa wapi"

Katika kulidhibiti hilo waziri Ummy amesema watatoa semina elekezi kwa viongozi kuanzia ngazi za vijiji na vitongoji ili kutokomeza tabia hiyo ya baadhi ya watoa huduma ikiwemo maduka ya dawa  kuuza dawa ambazo Serikali imeelekeza zitolewa bure kwa wagonjwa.

"Itabidi tuende mpaka ndani tuweke alama utakapoonoa hii dawa imeandikwa GOT ukiiona jua kuwa imeibiwa na haipaswi kuuzwa hizi dawa zinanunuliwa na Serikali na kusambaza hii ndio sera ya matibabu bure"

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ZIMESALIA SIKU 3 TUU; KUPIGA KURA OKTOBA 29,2025

    October 26, 2025
  • ZIMESALIA SIKU 4 KUPIGA KURA YAKO OKTOBA 29,2025

    October 03, 2025
  • WENYEVITI WA MITAA HAKIKISHIENI WANANCHI  WANAPIGA KURA KWA AMANI - RC MAKALLA...

    October 24, 2025
  • EWE MTANZANIA ZIMESALIA SIKU 5 KUPIGA KURA OKTOBA 29,2025..

    October 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Situs Toto
  • Toto Togel Macau
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • yamitoto
  • slot gacor
  • SILVAWIN
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • Situs Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • slot gacor
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor
  • Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • DEPOBOS
  • AERO88
  • AERO88
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200