• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKAGUA HOSPITALI ZA WILAYA

Posted on: September 5th, 2022

Waziri wa afya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amesema Serikali ya Zanzibar imejipanga kuweka mfumo sawa katika sekta ya Afya ili kudumisha zaidi Muungano.

Ameyasema hayo alipofanya ziara ya kikazi katika Hospitali ya Wilaya ya Arumeru na Jiji la Arusha.

"Tushirikiane katika kubadilishana mafunzo na uzoefu baina ya Serikali hizi mbili ili kudumisha undugu zaidi".

Amesema bado kuna kazi kubwa katika sekta ya Afya hasa katika kudhibiti vifo vya mama na mtoto ifikapo 2030, hivyo ushirikiano ni muhimu.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amesema katika sekta ya Afya Serikali ilitoa kiasi cha bilioni 3.5 fedha za tozo za miamala zakujenga miundombinu mbalimbali ya Afya kama vile Hospitali za Wilaya,majengo ya wagonjwa wa nje na vifaa.

Mhe.Mongella amesema ushirikiano uliopo wa Serikali hizi mbili ni kwasababu agenda ni moja ya kuleta maendeleo kwa nchi zetu.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango  amesema, Serikali ya awamu ya sita imeleta fedha za maendeleo ikiwa ni pamoja na fedha za tozo ambapo kwa Halmashauri hiyo Serikali katika sekta ya afya  ilitoa Milioni  300 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la kitengo cha dharura  EMD , Shilingi Milioni 500 kwaajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mareu , Shilingi Milioni 90 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya watumishi Zahanati ya Maji ya chai.

Mhe.Mazrui amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Arusha kwa lengo la kuona namna mfumo unavyofanya kazi katika sekta ya Afya.






Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

    January 28, 2023
  • KUMBUKIZI YA SIKU YAKUZALIWA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN

    January 27, 2023
  • MAFANIKIO SEKTA YA ELIMU ARUSHA YAWA KIVUTIO KWA MAAFISA ELIMU KAGERA

    December 29, 2022
  • MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

    December 19, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa