Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda, wakipiga ngoma na kufurahia wakati utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati Jijini Arusha ikiwemo Kituo Kikuu cha Mabasi Bondeni city, Soko Kuu la Kilombero, Soko la Morombo pamoja na Bustani ya Mapumziko.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa