• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WENYEVITI WA MITAA HAKIKISHIENI WANANCHI  WANAPIGA KURA KWA AMANI - RC MAKALLA...

Posted on: October 24th, 2025


 *_Asitokee mtu au kikundi kuzuia watu kupiga Kura_*

 *_Asema Vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kulinda usalama_*

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 amekutana na Wenyeviti na Watendaji wa serikali za Mitaa Jiji la Arusha, akiwataka kutimiza majukumu yao kikamilifu katika kuhakikisha kila Mwananchi mwenye sifa anapata fursa ya kushiriki vyema kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa kuhakikishiwa usalama na mazingira tulivu wakati wa uchaguzi Mkuu.

"Mkoa huu ni Mkoa Mkubwa, ni mkoa wenye uchumi unaotegemea Kilimo, biashara na utalii. Ahadi yangu kwenu, amani haina mjadala na ni kipaumbele cha kwanza kwani ili tuendelee kufanya shughuli zetu zote ikiwemo biashara na Utalii msingi wake ni amani na utulivu, Wito wangu kwenu ni kuhakikisha amani hiyo tunailinda kwa wivu mkubwa na Wivu huo ninyi wote mmepewa dhamana katika maeneo yenu kuhakikisha wananchi wenu wanakuwa salama." Amesisitiza CPA Makalla.

Aidha Katika Mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, CPA Makalla pia amewahakikishia wananchi wote wa Mkoa wa Arusha amani, usalama na utulivu hapo Oktoba 29, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi ili kushiriki kwenye zoezi hilo la Kikatiba.

Mapema leo kulingana na taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka kwa Vyombo vya habari, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameidhinisha Jumatano ya Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko Kitaifa ili kutoa fursa kwa watumishi wa umma na wafanyakazi kuweza kushiriki kikamilifu kwenye Upigaji wa kura kwa kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ZIMESALIA SIKU 3 TUU; KUPIGA KURA OKTOBA 29,2025

    October 26, 2025
  • ZIMESALIA SIKU 4 KUPIGA KURA YAKO OKTOBA 29,2025

    October 03, 2025
  • WENYEVITI WA MITAA HAKIKISHIENI WANANCHI  WANAPIGA KURA KWA AMANI - RC MAKALLA...

    October 24, 2025
  • EWE MTANZANIA ZIMESALIA SIKU 5 KUPIGA KURA OKTOBA 29,2025..

    October 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa