• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

ZANZIBAR KUFANYA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA UWEKEZAJI MWEZI OKTOBA 2024....

Posted on: June 8th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Waziri wa Utalii na Malikale Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Mudrick Ramadhan Soraga, ametangaza rasmi kufanyika kwa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Visiwani Zanzibar kuanzia Oktoba 25- 26, 2024 huku akiwaalika wadau wote wa utalii kushiriki kwenye maonesho hayo makubwa na ya kihistoria.

Mhe. Mudrick Ramadhan Soraga amezungumza, wakati akizindua rasmi msimu wa maonesho hayo yatakayokwenda kwa jina la Zanzibar Tourism and Investment Show 2024, uliofanyika kwenye banda la Kamisheni ya Utalii Zanzibar,  kwenye viwanja vya Magereza Kisongo Mjini Arusha mapema  leo Juni 08, 2024, ikiwa ni siku ya pili ya Maonesho ya Karibu Kili Fair 2024 mkoani Arusha.

 Mhe. Mudrick amesema kuwa, maonesho hayo yanatarajiwa  kutambulisha fursa mbalimbali za kiutalii na uwekezaji zilizopo kwenye sekta ya utalii Zanzibar pamoja na nafuu za Serikali katika uwekezaji, zoezi ambalo litafanyika kwenye viwanja vya Dimani mwezi Oktoba 2024.

"Kufanyika kwa maonesho hayo ni muendelezo wa kuutangaza utalii na fursa zilizopo kwenye utalii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuchagiza na kuchochea tija ya kiuchumi na kijamii inayotokana na sekta ya utalii, katika kuunga jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar" Amefafanua Mhe.

Hata hivyo, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni washiriki wa maonesho ya Karibu - Kili Fair 2024 ambapo wakati wa Uzinduzi wa maonesho haya, Waziri Mudrick alitaka kubuniwa kwa mkakati wa kimawasiliano ili kufanikisha ombi la Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda la kutaka Zanzibar na Arusha kuungana katika kukuza utalii.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa