Posted on: June 29th, 2023
Mwenge wa Uhuru umepitia jumla ya miradi 8 katika halmshauri ya Meru nakuridhishwa na miradi hiyo.
Akizungumza katika hitimisho la ziara hiyo Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bwana...
Posted on: June 28th, 2023
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Abdalla Shaib Kaim ameridhishwa na miradi 8 ya maendeleo ambayo Mwenge wa Uhuru imepitia katika halmashauri ya Arusha.
Amesema, miradi yote ipo vizuri ni mapunguf...
Posted on: June 27th, 2023
Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Arusha utakimbizwa umbali wa Kilomita 1168.47 na Miradi 62 yenye thamani ya sh. 47,290,543,421.83 itapitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023, ambapo sh.31,184,729,891.2...