Posted on: May 16th, 2023
Wakazi wa Mto wa Mbu Wilayani Monduli wametakiwa kuwa wakarimu kwa wageni hasa watalii kwasababu eneo hilo ndio kitovu cha utalii.
Yamesemwa hayo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T...
Posted on: May 11th, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Isdor Mpango amewataka Mawakili na Wanasheria kusimamia maadili ya taaluma yao ili waweze kutenda haki.
Ameyasema hayo alipokuwa akifung...
Posted on: May 9th, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bwana Missaile Musa amewataka wadau wa lishe Mkoani humo kuendelea kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha sekta hiyo inaeleweka katika jamii.
Ameyazungumza hayo katik...