Posted on: June 27th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amekabidhi Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Ally Hapi.
Mbio za Mwenge wa Uhuru zikiwa Mkoani Arusha zimetembelea, kukagua na kuweka m...
Posted on: June 24th, 2022
Miradi yote ya maendeleo inatakiwa kukamilika ndani ya muda uliopangwa ili iweze kutoa huduma bora na mapema kwa wananchi.
Rai hiyo,imetolewa na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 bwana...
Posted on: June 14th, 2022
Walengwa 7,652 wamenufaika na mradi wa ACHIEVE katika maswala mbalimbali ikiwemo kuwashonea sale za shule watoto 430, kujiunga na elimu ya ufundi VETA na kuwanunulia vifaa watoto 6, kutoa chakula na l...