Posted on: December 17th, 2021
Timu ya wanawake Mkoa wa Arusha yaibuka kidedea kwenye mashindano ya Taifa Cup kwa kuichapa timu ya wanawake ya Dar es Salaam.
Hongera sana.
...
Posted on: December 16th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella ameziagiza Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha kuendelea kusimamia miradi mingine ya maendeleo.
Ameyasema hayo alipokuwa akikabidhiwa madarasa 9 yalikamilika...
Posted on: December 15th, 2021
Pelekeni watoto shule kwani Serikali imeshajenga vyumba vya madarasa ya kutosha.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella alipokuwa akikabidhiwa vyumba vya madarasa 7 katik...