Posted on: December 8th, 2021
Maafisa elimu na walimu wa Mkoa wa Arusha wameelekezwa kwenda kusisitiza somo la historia kwa wanafunzi wao ili waweze kujua walipotoka.
Yamesema hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella ...
Posted on: December 7th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amemtaka Mkuu mpya wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dadi Horace Kolimba kwenda kuhakikisha mji wa Karatu unapangiliwa vizuri.
Maelekezo hayo ameyatoa baada ya kumua...
Posted on: December 6th, 2021
"Tumieni michezo kudumisha umoja wetu ili uwe imara zaidi na kuleta mshikamano".
Kauli hiyo imesemwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, alipokuwa akifungua...