Posted on: August 9th, 2021
"Mkichanjwa wote mtawafanya watalii kutoka nje ya nchi wawe na amani na wengi watavutiwa kuja Tanzania hasa Mkoa wetu wa Arusha ambao ni kitovu cha Utalii".
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha...
Posted on: August 9th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na kamati ya Bunge ya Bajeti.
Mhe. Mongella ameiyomba kamati hiyo kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Mkoa hasa katika ku...
Posted on: August 3rd, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amezindua chanjo ya UVIKO 19 kwa Mkoa wa Arusha na kuwataka wananchi wasiwe na hofu ya kukosa chanjo.
Amesema chanjo ipo na itawatosha wale wote wenye...