Posted on: July 2nd, 2020
“Nitasimamia mazingira ya wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha yawe mazuri na rafiki kwenu kwa kuyatambua na ikiwezekana kutatua changamoto zenu”.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta ...
Posted on: July 1st, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Hassan Kimanta, amemuagiza Mkurugenzi wa jiji la Arusha bwana Daktari Marco Pima kutohamisha mpango wa ujenzi wa Kanisa Katoriki la Parokia ya Sinoni.
Kimanta ...
Posted on: June 30th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Hassan Kimanta amesema eneo la wazi la bondeni litatumika kama eneo la kupumzikia wananchi wote wa Arusha.
Ameyasema hayo alipokuwa akikagua eneo h...