Posted on: June 25th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Kimanta, amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Monduli ACP Edward Balele kuwa Wilaya ya Monduli haijawai kupata hati chafu tokea serikali ya awamu ya tano iingie mad...
Posted on: June 25th, 2020
Kila mwananchi anaemiliki ardhi anatakiwa kuhakikisha amepata hati miliki ya ardhi yake ndani ya siku 90 baada ya zoezi la upimaji kukamilika kipindi cha nyuma katika eneo lake na siku 7 kwa aliyepimi...
Posted on: June 24th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Hassan Kimanta amepokelewa rasmi leo katika ofisi yake na kuanza majukumu yake kama mkuu wa mkoa wa Arusha.
Akizungumza na watumishi wa umma, amewaomba u...