Posted on: December 1st, 2018
Kituo cha forodha cha mpaka wa Namanga mkoani Arusha kinatarajia kukusanya mapato ya kiasi cha bilioni 53 kwa mwaka 2019.
Yamesemwa hayo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Ma...
Posted on: November 23rd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, imeiagiza bodi ya Mamlaka ya maji safi na Usafishaji Mazingira ya jiji la Arusha AUWSA kuweka kipaombele katika utunzaji wa vyanzo vya maji viliyopo katika mlima M...
Posted on: November 19th, 2018
Mazingira wezeshi kwa watumishi wa umma ndio yatakuwa kichocheo cha wao kufanya kazi kwa bidii na kwa weredi wa hali ya juu, hali hii itasaidia pia kuboresha huduma zitolewazo.
Haya yamesemwa...