Posted on: August 13th, 2018
Bilioni 15 zitatumika kukuza ujuzi kwa vijana zaidi ya milioni 4.4 nchini, ili kuwawezesha vijana kuwa na uwezo wa kushiriki shughuli za uchumi wa viwanda.
Yamesemwa hayo na naibu waziri ofis...
Posted on: August 3rd, 2018
Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa amesema matumizi ya dira za malipo ya kabla ya maji si kwa wale wateja sugu wasiolipa madeni bali ni kwa wateja wote wa huduma ya maji.
Ameyasema hayo alipokuw...
Posted on: July 31st, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Cornel Muro na Mhe. Frank James Mwaisumbe Mkuu wa Wilaya ya Longido wameapishwa rasmi kuwa wakuu wa Wilaya husika Mkoani Arusha.
...