Posted on: May 29th, 2020
Mkoa wa Arusha umetoa tahadhari kwa wakuu wa shule zote kutotoza michango ya ziada kwa wanafunzi kwa kisingizio cha ugonjwa wa Corona pindi shule zitakapofunguliwa.
Akitoa maelekezo hayo kaimu kati...
Posted on: May 28th, 2020
Daktari wa Mifigo Mkoa wa Arusha Dk. Sabas Shange, amesema katika wiki hii ya uhamasishaji wa unywaji maziwa, wananchi wanatakiwa kuhakikisha wanakunywa lita moja ya maziwa kwa siku.
Ameyasem...
Posted on: December 20th, 2019
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha ameipongeza wizara ya afya, maendeleo ya jamii,jinsia, wazee na watoto kupitia idara ya maendeleo ya jamii kwa kuona umuhimu wa kufanya mapitio ya sera yake ili kupata ...