Posted on: July 8th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Hassan Kimanta amewasimamisha kazi Mtendaji Kijiji na kata ya Mwandeti,na Afisa Tarafa ya Mukrati kuwa chini ya ungalizi ili kupisha uchuguzi zaidi na hatua kali ...
Posted on: July 5th, 2020
Viongozi wa Taasis za Serikali Mkoani Arusha, wametakiwa kufanya kazi kwa umoja na mshikamano, katika kuhakikisha wanatoa huduma shahiki kwa wananchi.
Maelekezo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa A...
Posted on: July 4th, 2020
Wakuu wa vyuo vya elimu ya juu Mkoani Arusha, wametakiwa kusimamia nidhamu na maadili kwa wanavyuo na wakufunzi katika vyuo vyao kwa kufuata utaratibu wa vyuo vyao.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa w...