Mradi huu utagharimu kiasi cha sh. bilioni 4.6, kwa sasa umefikia 55% .
Mradi huu unatarajia kutatua changamoto ya maji kwa kiasi kikubwa kwa wakazi wa mji wa Namanga.