Mkoa umepokea jumla ya sh. 1,125,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya 5, ambavyo vipo tarafa ya Sala, Eyasi,King'ori, Kisongo na Ketumbaine.
Aidha, Jumla ya vituo 3 vinaendelea kujengwa na vituo 5 viko katika hatua ya ukarabati
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa