• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeagizwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato

Posted on: June 13th, 2025


Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeagizwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka asilimia 96 hadi kufikia asilimia 100 pamoja na kuhakikisha wanakamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wakati ili wananchi wapate maendeleo



Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa wakati wa kujadili mapitio ya hoja tisa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 ambapo halmashauri hiyo ilipata hati safi.



"Ongezeni juhudi za ukusanyaji wa mapato ya ndani ili mfikie malengo ya asilimia 100 lakini pia niwapongeze mwa kupata hati safi na tunawapongeza wataalam wetu ikiwemo mkaguzi mkuu wa ndani  kwakuonyesha mabadiliko makubwa katika kupunguza hoja na kuambatanisha vielelezo". Amesema.



Naye Mkaguzi wa Nje Mkoa wa Arusha, Valence  Rutakyamirwa ameagiza vifaa vya afya vya shilingi milioni107 kuletwa mapema ili wananchi waweze kupata huduma bora za afya kwenye vituo vilivyopo wilayani humo.



Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kali ameipongeza serikali kwa kutoa fedha kwaaajili ya miradi ya maendeleo  kwani wilaya hiyo ni mojawapo ya wilaya inayopitisha magari zaidi ya 500 ya chakula yanayokwenda nchi mbalimbali kupitia mpaka wa Namanga na uchumi kukua zaidi.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • NDOTO YA RAIS SAMIA KWA ARUSHA: KUITUMIA FURSA YA UTALII KUINUA UCHUMI WA MKOA

    June 14, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeagizwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato

    June 13, 2025
  • WILAYA YA KARATU YATAKIWA KUIMARISHA USAFI NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    June 12, 2025
  • WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI.

    June 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa