• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA SIASA YAKAGUZA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.56 WILAYA YA KARATU....

Posted on: March 10th, 2024

Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha imetembelea na kukagua jumla ya miradi 4 yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.56 katika halmashauri ya wilaya ya Karatu, Machi 09, 2024.


Wajumbe hao wa Kamati ya Siasa Mkoa wakiongozwa na Mwenyekiti w CCM Mkoa wa Arusha, Loy Thomas Ole Sabaya, wamekagua mradi wa ujenzi shule mpya ya sekondari Lake Eyas kata ya Mongola, Mradi wa Ujenzi wa ahule mpya ya Sekondari Laja kata ya Kansay, Mradi wa Umeme wa REA kitongoji cha Maurus kata  ya Endabash na Ujenzi wa nyumba ya walimu shule ya sekondari Ayalabe, kata ya  Ganako.


Wakiwasilisha taarifa za miradi hiyo, watalamu wasimamizi wa miradi kisekta kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mhe. Dadi Horace Kolimba, wamefafanua kuwa, Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Lake Eyasi, umetekelezwa kwa gharama ya shilingi Milioni 584.2, na ujenzi wa nyumba ya walimu yenye sehemu ya kuishi familia mbili (2 in 1) uliogharimu shilingi Milioni 98, fedha zote kutoka Serikali Kuu, kupitia mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Shule za Sekondari Nchini (SEQUIP).


Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari Laja, umetekelezwa na Serikali  kwa gharama ya shilingi Milioni 333.3 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF OPEC IV.


Aidha, Kamati imekagua pia mradi wa Umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Endagem, uliogjarimu kiasi cha shilingi milioni 545.3 kupitia Wakala wa Nishati Vijijini REA, umeme ambao umefikishwa kwenye eneo la mgodi huo kitongoji cha Maurus.


Hata hivyo, wajumbe wa kamati hiyo ya Siasa wamerishishwa na hali ya utekelzaji wa miradi hiyo licha ya changamoto ndogo zilizoonekana na kuzitolea maagizo, lakini wameipongeza Serikali ya Awamu ya sita, kupitia Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, watalamu, viongozi wa ngazo zoye pamoja na wananchi, kwa kujitoa kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa vitendo kwa kuhakiksha miundombinu ya kutolea huduma za jamii, imewafikia wananchi katika maeneo yao.

May be an image of windmill and text

May be an image of 1 person

May be an image of 10 people and grass

May be an image of 3 people

May be an image of grass

May be an image of text

No photo description available.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa