• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

Posted on: March 28th, 2025

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema Msaada wa Kisheria unaotolewa bure kwa Wananchi wote wa Tanzania ni maono na maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema dhamira ya Rais Samia ni kuona Haki za Binadamu  zimetamalaki pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa Haki kwa kila Mwananchi.



Dkt. Ndumbaro ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Machi 28, 2025 Jijini Arusha kwenye viwanja vya Ngarenaro, wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia na kusema kuwa, Haki za Binadamu ni pamoja na Haki za kiraia,  kisiasa,kijamii, kiuchumi na kitamaduni.



Waziri Ndumbaro amesisitiza kuwa katika Uongozi  wake Rais Samia amekuwa kinara katika kuhakikisha Haki za kiuchumi zinakuwepo kwa kuweka mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji kama alivyofanya kwenye filamu ya "The Royal Tour" sambamba na namna anavyoimarisha Haki za kijamii katika upatikanaji wa Elimu, Huduma za Afya, miundombinu na Huduma za maji safi na salama kwa Watanzania wote.



"Chimbuko la Msaada huu wa Kisheria ni maono ya Rais Samia na lilianza Januari 2023  na wakati ule Rais ananipigia simu kunipa maelekezo ya utekelezaji wake aliongozwa na Ilani ya CCM ibara ya 122 na sheria ya Msaada wa kisheria ya mwaka 2017 ambapo ilitakiwa elimu na Msaada wa Kisheria kutolewa kwa Wananchi wote ili kuondoa migogoro kwenye jamii." Amesema Waziri Ndumbaro.



Katika hatua nyingine, Waziri Ndumbaro ameeleza kuwa Arusha imepata upendeleo wa pekee kutokana na mapenzi makubwa ya Rais Samia kwa wakazi wa Arusha, kwa kuwa Mkoa ambao umefikiwa mara mbili ndani ya mwezi mmoja na timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia.



Dkt. Ndumbaro ametumia fursa hiyo pia kumshukuru Mgeni rasmi wa uzinduzi huo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kwa ubunifu, uchapakazi na kujitoa kwake kwa Wananchi, akiwataka Wananchi wa Mkoa wa Arusha kutobabaishwa na wanaokuja kwao nyakati za kampeni za kisiasa pekee.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa