Mama Fatma Karume, amefika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kufanya Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Paul Christian Makonda Makonda Rc Paul huku akionesha kuridhishwa na Uwajibikaji wake na nia njema aliyoionesha kwa wananchi wa Mkoa wa huo, tangu alipoteuliwa kuongoza Mkoa huo Machi 30, 2024
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa