• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MHE. KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RC MAKONDA.

Posted on: February 17th, 2025

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwan Kikwete, Mapema leo Jumatatu Februari 17, 2025 Jijini Arusha, amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akimpongeza kwa uchapakazi na utendaji wake katika kuwahudumia wakazi wa Mkoa huo tangu kuteuliwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.



Katika mazungumzo yao yaliyofanyika Leo Jumatatu Februari 17, 2025, Mhe. Makonda kando ya mengineyo, amemueleza Mhe. Kikwete kuhusu maandalizi yanayoendelea Jijini Arusha, wakati huu Mkoa wa Arusha ukijiandaa kuwa Mwenyeji wa Wiki ya wanawake duniani yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 01- 08, 2025, Mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.



"Tumejipanga vizuri kuelekea  maadhimisho haya na tunategemea kuwa na Wizara 10 ikiwemo Wizara ya Katiba na sheria na Samia Legal Aids watakuwepo kwaajili ya kutatua kero na changamoto zote za wananchi wa Mkoa wa Arusha." Amesema Mhe. Makonda.



Mhe. Kikwete ameambatana na kamati ya kudumu ya Bunge ya  Ustawi na Maendeleo ya jamii ambao wamepangiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kutembelea eneo la Mradi mkubwa wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano utakaokuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya watu 4000 kwa wakati Mmoja kwenye eneo la Impala pamoja na kukagua kampeni ya mfuko wa jamii NSSF ya kusajili wananchi wenye kipato kidogo kwenye mfumo mpya wa Pensheni kupitia maadhimisho ya Wiki ya wanawake inayotarajiwa kufanyika Mkoani Arusha na kufikia kilele chake Machi 08, 2025.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa