• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAS ARUSHA AAGIZA HALMASHAURI YA MERU KUJIPANGA KUJENGA UZIO WA SHULE YA MSINGI LEGANGA NA KUKAMILISHA MADARASA SEKONDARI LAKITATU

Posted on: October 12th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Katibu Tawala mkoa wa Arusha Massaile Albano Musa, ameuagiza uongozi wa halmashauri ya Meru kujipanga kutumia mapato ya ndani kujenga uzio wa shule ya msingi Leganga eneo la Usa - River pamoja na kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Lakitatu.


Ametoa maagizo hayo mara baada ya kupata malalamiko kutoka kwa watumishi wa shule hizo wakati wa kikao cha kusikiliza kero za watumishi, na kuamua kuzitembelea ili kujionea hali halisi, husasani hatari ya wanafunzi kutokana na shule ya Leganga kuwa pembezoni mwa barabara kuu ya Moshi - Arusha, ombi lililotolewa na Mwl. Tajieli  Mbwambo, mwalimu shule ya msingi Leganga.


Awali Mwalimu huyo alimuomba katibu Tawala kuona uwezekano wa shule hiyo kuwekewa uzio, kutokana na shule hiyo kuwa karibu na barabara kuu ya Moshi - Arusha, shule ambayo ina kitengo cha wanafunzi wa elimu maalumu huku mwalimu  wa shule ya sekondari Lakitatu akiomba kukamilishwa kwa madarasa matatu yaliyojengwa muda mrefu kwa nguvu za wananchi.


Hata hivyo Kaimu Mkurugenzi  halmashauri ya Meru, Dkt. Amana Sanga amesema kuwa halmashauri itaangalia uwezekano wa kupata fedha kutoka mapato ya ndani kujenga uzio huo kwa kuwa ni muhimu kwa watoto hao ambao wako kwenye mazingira hatarishi ya pembezomi mwa barabara.


Awali Katibu Tawala mkoa wa Arusha anafanya ziara za kikazi kwenye halmashauri za mkoa huo na kusikiliza kero za watumishi kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kuboresha utumishi wa Umma pamoja na utawala bora.


ARUSHA FURSA LUKUKI

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa