• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AANIKA FURSA ZA UTALII  KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA -NDC...

Posted on: November 14th, 2023


Ujumbe kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi, umefanya ziara ya mafunzo, katika Mkoa wa Arusha ili kuangalia fursa za utalii wa ndani  ya mkoa huo, na kujenga uelewa wa pamoja hatimaye kuweza kutumia na kuzitangaza fursa hizo kwa wadau wengine.


Akizungumza na wageni hao, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, amezitaja fursa mbalimbali za utalii, zinazopatikana nchini Tanzania hususani mkoani Arusha, na kusisitiza kuwa ni Taifa hilo lenye amani na utulivu wa kiuchumi muda wote.


Amesema kuwa, sekta ya utalii Arusha inachangiwa na mambo mtambuka, ikiwa ni pamoja na uwepo wa miundombinu rafiki za kijamii, kiuchumi na kiutamaduni, zinazowezesha shuguli za utalii kufanyika muda wote, mambo ambayo yanaiweka Arusha kuendelea kuwa kama kitovu cha utalii wa Afrika.


"Uwepo wa miundombinu ya barabara zinazopitika kipindi chote cha mwaka, upanuzi wa viwanja vya ndege na huduma upatikanaji rahisi wa huduma  za kijamii maji safi na salama, huduma za elimu, malazi na chakula, pamoja na uwepo wa Mahakama ya Afrika, zote ni fursa zinazochangia sekta ya utalii nchini" Amesema Mhe. Mongella


Hata hivyo kutokana na safari hiyo ya kielimu, ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi, umepata uelewa wa kina wa fursa kubwa ya utalii ndani ya Tanzania na Mkoa wa Arusha hasa.


Pamoja na mambo yote, wamekiri kufanikiwa kutambua umuhimu wa utalii wa ndani, katika kukuza uchumi wa ndani, maendeleo endelevu, na uwezeshaji wa jamii katika sekta ya utalii.


Ziara hiyo ililenga kukipatia Chuo cha Taifa cha Ulinzi uzoefu wa vitendo katika nyanja ya utalii wa ndani huku kikionesha uwezo na rasilimali nyingi zilizopo ndani ya Mkoa wa Arusha.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa