• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AKIWASILISHA TAARIFA YA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA WANAFUNZI JANUARI 2024 KWA WAZIRI TAMISEMI KUPITI ZOOM....

Posted on: December 30th, 2023

RC MONGELLA AKIWASILISHA TAARIFA YA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA WANAFUNZI JANUARI 2024 KWA WAZIRI TAMISEMI KUPITI ZOOM.


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, amewasilisha taarifa ya mkoa huo, ya Maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa darasa la awali, la kwanza na kidato cha kwanza, mwaka wa masomo unaotarajia kuanza mapema Januari 2024, wakati wa Kikao kazi cha wakuu wa Mikoa na Waziri Ofisi ya Raisi TAMISEMI Mhe. Mchengerwa kupitia mkutano wa Zoom leo tarehe 30 Desemba, 2023.


Akiwasilisha tarifa hiyo, Mhe. Mongella amesema kuwa, mkoa wa  Arusha umejiandaa vema kupokea wanafunzi wanaoanza shule, mwaka wa masomo unaoanza Januari  2024, kutokana na ukweli kuwa, Serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kuboresha miundombinu yote muhimu kwa shule za msingi na sekondari.


Amefafanua kuwa, hali ya uandikishwaji wanafunzi wa darasa la awali imefikia asilimia 56, wakiwa tayari wameandikishwa watoto 39,054 kutoka maoteo ya watoto 69,174, darasa la kwanza wakiandikiswa watoto 46,002 kutoka maoteo ya watoto 62,307 sawa na asilimia 74, huku wanafunzi 180 wakiwa wameandikishwa kwenye madarasa ya MEMKWA.


Amebainisha kuwa, mpaka kufikia tarehe iliyopangwa na Serikali, shule kufunguliwa tarehe 08 Januari, 2024, mkoa wa Arusha unatarajia hali ya uandikishwaji itakuwa imeongezeka na kufikia asilima 100 na hatimaye kufikia malengo ya kuandikisha wanafunzi kwa mkoa, kulingana ya idadi ya watoto wenye umri wa kuanza masomo.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa