• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA UHIFADHI WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA

Posted on: August 19th, 2024

Elinipa Lupembe 


Serikali yahimiza matumizi yaTeknolojia ya uhifadhiwa nyaraka huku asilimia 53 ya taasisi za Umma zikiwa tayari zikitumia mfumo wa ofisi mitandao (e-office) katika  utunzaji wa kumbukumbu,  ikiwemo uhifadhi na usimamizi wa nyaraka  kidigitali  na kuleta ufanisi zaidi katika utendaji wa kazi nchi.


Hayo yamebainishwa na  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi, Xavier Daud wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 59  Bodi ya Baraza la Wahifadhi Nyaraka Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESARBICA), mapema leo Agosti 19, 2024 mkoani Arusha.


Amesema kuwa, nchi ya Tanzania imesonga mbele katika matumizi ya mfumo wa kidijitali kwenye ofisi za Umma, mfumo ambao umerahisisha utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka za Serikali, mfumo ambao licha ya urahisi wa utoaji na upatikanaji wa huduma kwawananchi, umetoa fursa ya kupokea maoni na malalamiko kutoka kwawananchi na kutoa mrejesho.


"Tanzania kwa sasa tumesonga mbele katika mfumo wa kidigitali kwakutumia mfumo wa e-office unaorahisisha wananchi kupata huduma katika taasisi za Umma,  usimamizi na uhifadhi wa kumbukumbu za kidijitali pia mfumo wa e-mrejesho unasaidia kukusanya maoni na malalamiko ya wananchi kidigitali"


Naye Rais wa ESARBICA, Puleng Kekana amewataka wanachama wa nchi hizo kuchukua hatua za kuandaa na kutekeleza programu za mafunzo kwa taaluma za kumbukumbu haswa vijana, wanaharakati ili kuhakikisha utoaji huduma bora kwa wananchi ikiwemo jamii Kuweza kutunza kumbukumbu vizuri.


Mkutano huo wa siku mbili wenye lengo la kubadilishana uzoefu wa nchi wananchama kuhakikisha sekta hiyo ya utunzaji Kumbukumbu na Nyaraka katika Serikali ya nchi hizo inaboreshwa na kuhakukisha zinatunzwa na kuhifadhiwa vizuri ili kutoa huduma bora kwa wananchi.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa