Maelfu ya Wakazi wa Arusha wakiomba kuzunguka mnara wa saa (clock Tower) leo, ambapo ni eneo la katikati ya bara la Afrika kutoka Kairo - Misri mpaka Afrika ya Kusini.
Maombi hayo yameongozwa na viongozi wa Dini zote na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Makonda Rc Paul
Kauli Mbiu "Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara; Uongozi Madhubuti na Ushirikishwaji Wananchi ni Msingi wa Maendeleo yatu"
Ngurumoyaupakobuniacongo Elinipa Lupembe Ofisi ya Rais - Tamisemi Ikulu Mawasiliano Ofisi ya Waziri Mkuu Makonda Rc Paul Samia Suluhu Kwanza Mkuu Wa Wilaya Longido Halmashauri YA Wilaya Ngorongoro Ikulu Tanzania Shalom radio Safina Radio Project Sunrise RadioTz ARUMERU MASHARIKI 2012 Arusha Zonee
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa