• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RAIS MSTAAFU DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA KIWANDA CHA A-T TANZANIA LTD CHA JIJINI ARUSHA

Posted on: April 13th, 2024

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Kituo cha Utafiti cha Africa Technical Research Center na kupokelea na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z Tanzania Ltd Kalpesh Shaha na uongozi wa kiwanda hicho,
 jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maelekezo kutoka kwa mkemia wa maabara ya kutengenza dawa za kuulia mbu wanaoambukiza ugonjwa wa malari, Kituo cha Utafiti cha Africa Technical Research Center na kupokelea na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z Tanzania Ltd, Kalpesh Shaha na uongozi wa kiwanda hicho,
 jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maelekezo kutoka kwa Mkemia wa kituo cha Utafiti Africa Technical Center  Festo Nicas Lasway namna ya kupima kiasi chaa dawa yenye uwezo wa kuua mbu, wakati Dkt Jakaya alipotemhelea kituoni hapo leo Aprili 13, 2024.

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z Tanzania Ltd cha Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha A-Z, Kalpesh Shariha akimpa maelezo Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete nama ya uzalishaji wa vyandarua alipotembelea kiwanda cha A- Z Tanzania Ltd, Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Mkurugenzi kiwanda cha A-Z Tanzania Ltd Binesh Haria akimueonesha Rais Mstafu wa Serikali ya Awamu ya nne na Mjumbe wa Baraza la kutokomeza Malaria Duniani Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, jinsi yandarua  vinayofungashwa tayari kwa kupelekwa kwa wateja, jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia namna vyandarua vinavyofungwa kwenye marobota tayari kwa kusafirishwa wakati  kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z Tanzania Ltd cha Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakiwa ndani ya chandarua kilichokamilika tayari kwa matumizi walipotembelea kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z , Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Rais Mstaafu wa Serikali ya nne na Mjumbe wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakiangalia nembo inayowekwa kwenye chandarua mara baada ya  kukamilika tayari kwa kuuzwa kwa matumizi,  walipotembelea kiwanda cha kuzalisha vyandarua cha A-Z  Tanzania Ltd, Jijini Arusha leo Aprili 13, 2024

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa