• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

ARUSHA TUPO TAYARI KWA FURSA, ARUSHA NDIO MLANGO WA UTALII - RC PAUL MAKONDA

Posted on: April 23rd, 2025

Katika kuendeleza jitihada za kuimarisha utalii wa chakula barani Afrika, leo Aprili 23, 2025, Jiji la Arusha limekuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Utalii wa Vyakula Afrika. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Gran Meliá, huku ukijumuisha wadau mbalimbali wa sekta ya chakula na utalii kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika.



Mgeni rasmi katika mkutano huo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, ambaye amepongeza juhudi za Umoja wa Mataifa katika kukuza utalii wa vyakula, akieleza kuwa sekta hiyo ni nyenzo muhimu ya kuinua uchumi wa nchi nyingi za Afrika.



Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, ameuelezea mkutano huo kama fursa adhimu kwa Arusha na Tanzania kwa ujumla, kutangaza utajiri wa vyakula vya asili, utamaduni na vivutio vya kipekee vya utalii vilivyopo nchini.



“Kupitia mkutano huu tunapeleka ujumbe kwamba Tanzania haijajaliwa tu vivutio vya asili, bali pia utamaduni wa chakula unaoweza kuwa kivutio kikubwa cha watalii duniani. Arusha iko tayari kuwa kitovu cha utalii wa vyakula Afrika.”



Tanzania inaendelea kujiweka kama kinara katika sekta ya utalii barani Afrika, huku Arusha ikiimarika kama lango kuu la Sekta ya Utalii.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.