•Taarifa ya Takwimu mbalimbali za Kisekta•Taarifa hii huandaliwa kila baada ya miezi sita,taarifa hii husaidia viongozi wa Wilaya, Mkoa, Taifa kujua kiwango cha ukuaji wa sekta mbalimbali•5. Taarifa ya Mkoa kwa Viongozi wa Kitaifa (Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) pale wanapofanya ziara ya kikazi katika Mkoa wetu.•6. Taarifa ya makabidhiano (Handing over), huandaliwa pale yanapotokea mabadiliko ya uongozi wa Mkoa (RC au RAS) • MAJUKUMU YA SEKSHENI
Kwa mujibu wa Planning and Management Guidelines (PMG) II ya mwaka 2011 majukumu ya Seksheni ya Mipango na Uratibu ni Kama ifuatavyo:-
3. Kutafsiri Sera na Miongozo ya Kisekta kwa MSM na wadau mbali mbali wa maendeleo
4. Kuratibu vikao vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC)
Majukumu mengine
Kuratibu shughuli za Maafa katika Mkoa
6. Kuratibu na Kusimamia fedha za Wafadhili
7. Kusaidia MSM kuandaa Miradi ya Maendeleo
8. Kusimamia Sensa ya Watu na Makazi (M)
9.Kukukusanya Takwimu muhimu kutoka katika Halmashuri, kushirikiana na Ofisi ya Takwimu Taifa (Mtakwimu Mkoa) katika kuzichambua na kuunganisha taarifa yenye takwimu sahihi, ili kuweza kuboresha Social Economic Profile ya Mkoa.
Kutokana na Majukumu tajwa hapo juu, Seksheni ya Mipango na Uratibu huandaa taarifa mbalimbali zifuatazo.
1.1. Kuandaa Action Plan na Cash Flows (RS na LGAs) hii ni kwa mujibu wa sheria ya Bajeti Na. 11 ya mwaka 2015 kifungu cha 44(1-4). Mwongozo wa kuandaa Action Plan na Cash Flow huandaliwa kila mwaka
1.2. Taarifa za Utekelezaji wa bajeti kila mwaka wa fedha. (Sheria ya Bajeti Na. 11 ya Mwaka
Taarifa za Utekelezaji wa bajeti kila mwaka wa fedha. (Sheria ya Bajeti Na. 11 ya Mwaka 2015 kifungu cha 53)
i.Robo ya kwanzaii.Nusu mwakaiii.Robo ya tatuiv.Taarifa ya mwakav.Format ya taarifa hizo hutolewa kwenye Mwongozo wa bajeti kila mwaka
Taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Viongozi wa Kitaifa (Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu) pamoja na yatokanayo na ziara za viongozi hao katika Mikoa mbalimbali.
3.Taarifa za kila wiki kwenda kwa Waziri Mkuu
Kutoa taarifa kwa matukio yote makubwa katika Wilaya yako/Mkoa wako (kila siku ya Ijumaa kabla au ifikapo saa 7.00 mchana ni lazima taarifa hiyo iwasilishwe, hata kama hakuna tukio ni lazima iwasilishwe
•Taarifa ya Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (NGOs), taarifa hizi huwasilishwa Wizara husika kila baada ya miezi 3•8. Taarifa za ukaguzi wa miradi ya maendeleo (Mkoa na Halmashauri za Wilaya/Jiji). Taarifa hizi huwasilishwa kila baada ya miezi 3 na hasa baada ya ukaguzi wa miradi hiyo.•9. Taarifa za mikopo ya wanawake na Vijana kila robo mwaka•10. Taarifa za ukatili wa kijinsia (pale inapotokea •
•Taarifa ya idadi ya Maafisa Maendeleo ya Jamii (TANGE) hutolewa kila robo mwaka•12. Taarifa za Mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU/Ukimwi (Financial & Physical)
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.