Sekta ya Utalii inachangia 17.5% ya pato la taifa na kulipatia taifa 25% ya fedha za kigeni.
Maeneo ya utalii katika mkoa wa Arusha yamegawanyika katika sehemu 2,
1. Utalii wa Wanyama ambapo kuna;
-Hifadhi ya Ngorongoro
- Hifadhi ya Arusha
-Hifadhi ya Tarangire
- Hifadhi ya ziwa Manyara
- Hifadhi ya ziwa Natroni
2. Utalii wa utamaduni upo katika sehemu mbalimbali
-Makumbusho mbalimbali
- Hifadhi za Misitu na mabonde
- Utalii wa picha
-Hifadhi za milima
Mkoa unaendelea kubainisha maeneo mbalimbali ya utalii hasa ya utalii wa utamadumi kwa lengo la kuendelea kutunza tamaduni za wazawa na kuongeza wigo mpana wa utalii katika mkoa.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.