Katika kukuza utalii wa Mkoa wetu kuna fursa za uwekezaji katika;
1.Uboreshaji na ujenzi wa Hotel za kitalii zenye Campsites na kumbi za mikutano.
2.Kuanzisha maeneo ya historia ya Makabila kama moja ya kivutio cha utalii.
3. Kutangaza vivutio vya utalii wetu ndani ya Mkoa,nchi na nje ya nchi.
4.Kuboresha huduma ya usafiri kwa watalii wanaoingia Mkoani.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.