Huduma zetu mbalimbali katika sekta ya afya zinatolewa na Hospitali ya rufaa ya Mount Meru,hospitali za Wilaya,vituo vya afya na Zahanati nazo ni:
1. Upasuaji wa Jumla (Genaral Surgery)
2.Upasuaji Mifupa (Orthopaedic Surgery)
3. Magonjwa ya kina mama na uzazi(OB/GNY)
4.Magonjwa ya watoto
5.Huduma ya dharura (EMD)
6.Magonjwa ya Macho
7.Magonjwa ya Meno
8. Mionzi
9.Magonjwa ya Pua,Koo na Koromeo (ENT)
10.Afya ya Akili
11.Huduma ya Nusu Kaputi
12.Huduma ya Mazoezi ya viongo (Physiotherapy)
13.Huduma ya I.C.U
14.Upasuaji Njia ya Mkojo(Urology)
15.Ustawi wa Jamii.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.