• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC KIHONGOSI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI NA MILA; ASISITIZA KUOMBEA AMANI..

Posted on: July 2nd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenan Laban Kihongosi @kenanikihongosi amekutana na viongozi wa Dini na viongozi wa mila wa mkoa huo kwa lengo kufahamiana na kupata baraka, dua na maombi kutoka kwa viongozi hao,  ili anapoianza kazi yake iwe na ulinzi wa Mungu, kikao kilichofanyika  kwenye ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa mkoa,  mapema leo Julai 01, 2025.

Amebainisha kuwa, anaamini Mhe.Rais kumleta Arusha si kwa uwezo wake bali ni mpango wa Mungu, na kuwaomba viongozi hao, licha ya kumpa ushirikiano katika utendaji wake kazi, amewasisitiza kuombea amani ya nchi, kumuombea, kumlea, kumfundisha, kumshauri na kumuelekeza pale atakapopotoka ili aweze kuitenda kazi vizuri na kuendeleza mkoa wao wa Arusha.

"Binafsi ninamshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kuja kuwatumikia tena, lakini  katika utumishi wa Umma kuna mambo ambayo yanahitaji msaada wa Mungu, hivyo ninaamini ushauri kutoka kwenu kutokana na umri wangu mdogo, niwaombe viongozi wangu  msiache kuniombea, ninaombe mnilee mimi ni kajana wenu". Ameweka wazi Mhe. Kihongosi.

Aidha, amewaomba kuuombea amani ya mkoa na Taifa kwa ujumla na kuongeza kuwa, waendeleze ushirikiano wao kama walivyoshirikiana na viongozi waliotangulia kwa kuwa mkoa ni ule ule,  kilichobadilika ni uongozi tu lakini malengo ya kuujenga mkoa wetu yako pale pale.

Hata hivyo amewasisitiza kendelea  kuhubiri amani ya nchi yao, kwa kuangalia manufaa ya amani na utulivu, na kuepuka  kujenga chuki na uadui kwa misingi ya dini na vyama vyetu kwa kuweke mbele utaifa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

"Viongozi wa dini mnalojukumu la kuiombea Tanzania na viongozi wa mila wanayo kazi ya kuhubiri maadili na amani ya nchi yetu hivyo viongozi wangu ninaomba tushirikiane kuilinda amani, sisi ni watumishi wa Umma, tumekuja kufanya kazi tu, lakini iko siku tutaondoka, hivyo tusikubali kuharibu nyumbani zaidi tuilinde ardhi yetu" Amesema

Tutambue kuwa, Mheshimiwa Rais anayo nia njema kwa nchi yake kwa kuangali mifano ya miradi mikubwa inayotekelezwa nchini katika seka zote hivyo saidieni kuilinda nchi yetu na kumsaidie Mhe Rais.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC KIHONGOSI ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA ARUSHA..

    July 02, 2025
  • RC KIHONGOSI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI NA MILA; ASISITIZA KUOMBEA AMANI..

    July 02, 2025
  • RC KIHONGOSI: ARUSHA IWE SEHEMU SALAMA YA UPENDO, AMANI NA MSHIKAMANO...

    July 01, 2025
  • UAPISHO

    July 01, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.